Misc Unsigned Bands – Kidum - Mapenzi chords

Chords:
Transpose:
A E kama ni mapenzi
B- Dya kuniudhi kila saa, ya kunifanya mi kulia
A E na kama huridhiki
B- Dna mbona hujasema, ili niweze rekebisha
A Eilifaa ni mambo shwari
B- Dnikiamini u kwangu, na kukusifu kwa wazazi
A Ehujali tena hisia zangu
B- Dsijui tunapokwenda, lakini najua tulipotoka
B- A E kutoka sitoki nimetekwa nyara
B- A E kukuwacha siwezi kibarua ngumu
B- A E nashindwa ni nini ntafanya uridhike
B- A nimetekwa ndani, mtandao wa mapenzi
E basi nakuomba, uniteke tu bila mateso
A E B- D tazama, nimezama, ndani ya bahari, la penzi lako
A E B- D siwezi, kusonga mbele, kurudi nyuma, sijielewi
A E B- haya mapenzi ya fujo hayafai
A E B- kama wanipenda, jaribu kunipa raha
A E mi nashangaa, watu wakisema
B- Deti tunapendana, japo tunazozana
A Eni vizuri mami, kumba kuwa na siri
B- Dlakini jaribu, tusuluhishe
A Ebila hivyo, itakuwa mteso
B- Dwa kuigiza, kwenye mambo bandia
A Emimi sitaki, mambo ya kujifanya
B- Dati tunapendana, tena tunatesana
B- A E nimejaribu sana kujitoa ndani
B- A E kila nikipanga napangua mwenyewe
B- A E natamani sana ungeelewa hivyo
B- A E mimi mateka, mimi pumbavu (mabusu), wa penzi lako
nieleze ni lini ntakuwa huru tazama, nimezama... jaribu baby...mambo, ya kunifanya kumbafu haifai mambo yo yo yo yo yo...haifai, jaribu baby, tusuluhishe nimejaribu sana kujitoa ndani... tazama, nimezama... haya mapenzi ya fujo hayafai kama wanipenda, jaribu kunipa raha...(ad libitum)
Please rate this tab:
x1.0