Kidum Feat Lady Jaydee – Nitafanya chords

Chords
Transpose:
http://www.kidum.page.tl/Home.htm

Standard Tuning

Kidum feat. Lady Jaydee - Nitafanya (chords)
by tabbed J-Ryder790

Intro
G#m, G#m, B, F# x3
E

Verse 1 (Kidum)
C#m G#m B F# Ikiwa umeamua kunitoroka
C#m G#m B F# Ikiwa unahisi kwamba hujiskii nami tena
C#m G#m B F# Na mbona imekuwa ngumu kunidokeza
C#m G#m B F# Naona ni bora nilie leo, badala ya kesho
C#m G#m B F# Kupendwa, usipendwe ni kama kujitia kitanzi
C#m G#m B F# Nitachimba na sururu kwa ardhi, nikitafuta penzi lako
Pre-Chorus (Kidum)
F# E Ni heri nipigwe fimbo kwa mwili
F# E Sababu nitajikuna, ama nitajikanda na maji moto
C#m B Maumivu ya penzi, mtu hajikuni
F# Wala hajikandi na maji
E Na hakuna upasuaji (yoii yoo)
Chorus
G#m B F# E Kama kuna kosa, nimewahi fanya (nieleze)
G#m B F# E Kama kuna jinsi, tunaweza leta (mpaka niishi)
G#m B F# E Na kama kuna kitendo, linaweza tendwa (nieleze)
G#m B F# E Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda
G#m B F# E Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda
G#m B F# E Nitafanya (nasema), fanya, Nitatenda, tenda
G#m B F# E Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda (woohh)
Verse 2 (Lady Jaydee)
C#m G#m B F# Kweli hukumbuki ulioyafanya
C#m G#m B F# Ni kweli unakumbuka tulikotoka
C#m G#m B F# Sisemi habari zozote za kusikia
C#m G#m B F# Bali kwa ushahidi, niliouona
C#m G#m B F# Msamaha mara ngapi? umeshaomba na bado
C#m G#m B F# Je, ni makosa mangapi? niliyoyafumbia macho
Pre-Chorus (Lady Jaydee)
F# E Mpaka leo nahisi kufika kikomo
F# E Maumivu yanazidi ndani ya moyo
C#m B Sitaki kwenda mbali kwani upo moyoni
F# E Nikusamehe mimi mara ngapi wewe?
Nieleze mpenzi mara ngapi? Chorus
G#m B F# EUnataka, nikusamehe mara ngapi? (usihesabu)
G#m B F# EUnapenda nikuvumilie mara ngapi? (hii ni ya mwisho)
G#m B F# EJe, wewe nikulilie mara ngapi? (vumilia)
G#m B F# ESitoweza (utaweza wee), Nimechoka (usichoke)
G#m B F# ENimeshindwa (usishindwe), Naondoka (usiondoke mamii)
G#m B F# ESitoweza (sitoweza), Nimechoka (usichoke)
G#m B F# ENimeshindwa (usindindwe), Naondoka leo
Bridge (Kidum)
C#m B F# Ukihesabu ni mara ngapi umenisamehe
C#m B F# C#m Ni kama kuhesabu ni mara ngapi mtoto kaharibu nepi
B F# E Usichoke, usiondoke, usilie, niko hapa kukulinda
Chorus
G#m B F# EKama kuna kosa, nimewahi fanya (nieleze)
G#m B F# EKama kuna jinsi, tunaweza leta (mpaka niishi)
G#m B F# ENa kama kuna kitendo, linaweza tendwa (nieleze)
G#m B F# ENitafanya, fanya, Nitatenda, tenda
G#m B F# ENitado do do do, fanya, Nitafanya, tenda
G#m B F# ENitafanya , fanya, Nitatenda, tenda
G#m B F# ENitado i swear, fanya, Nitafanya, tenda (woohh)
G#m B F# EUnataka, nikusamehe mara ngapi? (usihesabu)
G#m B F# EUnapenda nikuvumilie mara ngapi? (mara ya mwisho)
G#m B F# EJe, wewe nikulilie mara ngapi? (usilie)
G#m B F# ESitoweza (unaweza), Nimechoka (usichoke)
G#m B F# ENimeshindwa (usishindwe), Naondoka (uhh uhh)
G#m B F# ESitoweza (weza), Nimechoka
G#m B F# E Nimeshindwa, Naondoka leo
Outro ( G#m, B, F#, E )Usishindwe baby
Nitado do do do do
Please rate this tab:
x1.0